Kiulukwumi

Kiulukwumi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waulukwumi. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiulukwumi imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulukwumi iko katika kundi la Kidefoidi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search